Mtangazaji wa Kenya Willy Tuva Amefunguka Haya:
@Regrann from @mzaziwillytuva - WHERE IS ROMA? VIONGOZI MBONA KIMYA?
East Africans love Tanzania's Hip Hop star @roma2030. How can he and his friends disappear without a trace?
What crime did he commit? Alikamatwa na majambazi au polisi? Kama ni polisi, kosa lake ni gani? Kama ni majambazi hatua gani imechukuliwa kuwatafuta? Nauliza #WhereIsRoma
VIONGOZI NA VYOMBO HUSIKA TUSAIDIENI KUJUA!! Msinyamaze, kama ilivyokuwa kwa @naytrueboy na hii pia SAIDIENI