Chemical amefunguka kuhusu wimbo wake mpya ‘Queen Of Dar es Salaam’.
Rapper huyo mwenye swagga za hatari amesema ameamua kuchanganya verse
mbili tofauti ikiwemo ya Profesa Jay na Sugu kwa pamoja kutokana na vitu
hivyo waliviimba miaka mingi lakini mpaka leo bado vinatokea.
.
.
@chemical_tz ameongeza kuwa mbali na vyote alivyorap ndani ya wimbo huo
lakini pia alitaka kuwafahamisha watu watambue kuwa ndani ya Bongo kuna
Queen wa muziki wa hip hop ambaye ni Chemical.
Queen huyo wa Hip Hop Bongo amesisitiza kuwa kwenye wimbo huo hakuna
msanii aliyemchana japo baadhi ya watu wameanza kufikiria hivyo
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)