Upinzani punguzeni Jazba ...Mnajikweza Sasa.. Sijui Bashite kawaloga...
Speaker angekaa kimya kwenye hili ndo yangekuwa yale Yale ya double
standards tunayoyakataa kwa Rais Magufool na Bashite... Kama Bashite
anashughulikiwa kwa kulidhalilisha bunge kwa kusema wabunge wanalala tu
Inabidi Hata nyinyi mliheshimu Bunge...Bashite aliitwa mbele ya kamati
ya maadili na alifika why nyinyi mgome? Hatutaki double standards
Jamani!!!!Hata kama hamkupenda maamuzi yake hamtakiwi kumtukana
speaker.. nendeni Jamani bila kukamatwa mlimalize hili ili tuendelee na
Bashite mbona mnaunguza picha sasa? Haki mganga wa Bashite
kibokoooooo... Badala ya kumshighulikia Bashite Bunge limebaki kutifuana
wenyewe kwa wenyewe... So stupid! 😏😏 .
.
Huyu spika amekuwa very fair kwa wabunge woote, msimtibue tafadhali.
Mdee umemkosea sana spika huwezi kumwita fala aiseeeee. Especially spika
kama Ndugai....Na ukweli inabidi usemwe, tatizo haikuwa wagombea wenu
tatizo ni Chadema hakuna demokrasia ya kweli, sio kwenye viti maalum sio
kwenye nini.. You guys have to change!! Period!
.
.
Ushauri wangu kwa WaBunge Wa upinzani hayo mambo ya kutoa lugha kali
yanawaharibia mnooo. Muache mara moja.Nyinyi ni wabunge, lugha chafu
tuachieni sisi tulioko kitaa. .