Baada ya mastaa mbalimbali kuguswa juu ya stori ya Roma mkatoliki na wenzake watatu kuchukuliwa na watu wasiofahamika kwenye Studio za Tongwe Records na kupelekwa sehemu isiyojulikana, sasa leo April 7 2017 Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Moses Nnauye ameonesha hisia zake juu ya tukio hilo.
Kupitia account yake ya twitter Nape Nnauye ameyaandika maneno haya matatu kuhusu Roma>>>”Roma! Oooooh No!” – Nape Nnauye.

No comments