Zitto: NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda Posted by : Edward Mangu at March 30, 2017 Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda. Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo