Shilole aka Shishi Trump ni mzungu. Amesema hana kinyongo na ex wake Nuh
Mziwanda na ndio maana mwaliko wa 40 ya mtoto wa kike wa Nuh na mke
wake Nawal ukihusika, ataenda kufanya makubwa.
“Mimi sinaga shobo ujue,” muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni.
“Mimi naenda kwa moyo wangu kwamba ntaenda kama msanii mwenzangu
kwamba hongera kwa kupata mtoto vizawadi hivi kama vibeseni, si unajua
tena mama yake mkubwa wa zamani lazima naye.. sina tatizo,”...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)