Nyota wa Africa diamond platnumz ameweka record mpya kwenye mziki wake
baada ya kuingia 20 ya wasanii wapya nchini marekani kwa video take ya
marry you kupitia mtandao wa VevoVideo ya marry you imeendelea kufanya vizuri kupitia a/c hiyo mpya ya Diamond ikiwa na views milioni 3.7 ndani ya wiki 3