Wanawake hao wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kutafuta maji katika mto Tungu unaotenganisha wilaya ya Kishapu na Maswa mkoa wa Simiyu kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika mpaka sasa hali inayowafanya kuendelea kuwa tegemezi kwa wanaume.
Wakizungumza na waandishi...